Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Unatafuta sehemu nzuri ya biashara? Hii hapa nafasi yako 👌
📍 Frem nzuri sana inapangishwa Sinza
💰 Bei: 500,000/= kwa mwezi
✅ Ipo eneo zuri lenye movement ya kutosha
✅ Inafaa kwa biashara yeyote
✅ Mazingira safi na ya kuvutia kwa wateja
🔹 Service Charge: 30,000/=
📞 Call: 0787093748 kwa mawasiliano zaidi na kuiona frem.















