Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MADALE MWISHO
Umbali wa Kilomita 1.5 kutoka Main Road, Boda 1000
• Sebule Kubwa
• Vyumba VIWILI na Kimoja Wapo ni Master Bedroom
• Jiko Zuri Kubwa
• Public Toilet
• Heater za Maji
Apartment Zipo 4 ndani ya Fence Parking ipo na Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow NDANI 24HRS, Reserve TANKS
Price: 350,000 × 6
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp