Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 0.5 TOKA MAIN ROAD
A
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
BEI NI 250,000/=X6
B
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
BEI NI 350,000/=X6
SEHEMU MAALUM YA PARKING
NOTE
ZITAKUWA TAYARI TAREHE 01/08
##0655256419