Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







600,000 X6 0759151524
MADALE ZINAPANGISHWA 💥MADALE 600K ZINAPANGISHWA 💥 💥 600K X 4,, BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 6
🌟 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA UNAWEZA KUWEKA NA MEZA YA DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#HEATER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ULINZI UPO MASAA 24
BEI NI 600,000/= X 4
💥BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 6
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO MADALE MWISHO NA KUTOKA BARABARA KUU YA MADALE HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0781 418 437
0679 956 863
0759151524