Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Salasala Ushuani, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT YA KUPANGISHA
π Mahali: Salasala Ushuani, Dar es Salaam
π° Kodi: TZS 1,300,000 kwa mwezi
Malipo: Miezi 4
Sifa za Nyumba:
β
Vyumba 2 vya kulala (kimoja Master Bedroom)
β
Sebule kubwa na sehemu ya dining
β
Jiko la kisasa
β
Choo na bafu vya ndani pamoja na public toilet
β
Umeme wa LUKU binafsi
β
Gypsum ceiling na Tiles za kisasa
β
Madirisha ya Sliding
β
Maji ya bomba yanapatikana masaa 24
β
Maegesho ya magari (Parking Space)
β
Eneo limezungushiwa uzio (Fenced Compound)
β
Garden nzuri
β
Paving blocks
Gharama ya Kuangalia Nyumba: TZS 30,000
Contact us now
0620328143
LOYAL ELLY















