Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
📍 SINZA – FREMU INAPANGISHWA
💰 Bei: TSh 700,000 kwa mwezi
🏢 Ipo Floor ya Kwanza
✨ Inafaa kwa biashara mbalimbali na ofisi
🛣️ Eneo zuri lenye mwonekano mzuri na ufikivu rahisi
📞 Wasiliana sasa: 0678512666
💼 Service charge: 30,000
⚡ Wahi sasa, nafasi nzuri imebaki chache!















