House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (APARTMENT ZIPO TATU)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (VYOTE MASTER), SEBULE KUBWA, FENI SEBULENI NA VYUMBANI KOTE.
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI TENKI LIPO
KODI: 180000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU, KITUO SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0788156493 0614130017