House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (NI MPYAAAA)
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO LINAWEKWA SHELF. MAJI YANATOKA KOTE NDANI.
MITA YA UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI INAJITEGEMEA, MAJI YAPO MASAA 24.
LOCATION: PUGU, KITUO SHULE YA MSINGI..
KODI 150000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU
CONTACT 0692423138 / 0719115949