House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa sh 150000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 hii nyumba ina vyumba 2 chumba kimojawapo master, sebule na jiko, location tabata kinyerezi kibaga
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Gharama ya kupelekwa kuonyeshwa nyumba sh 20000
Au pesa ya mwezi mmoja endapo ulipapo nyumba