House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
#๐ฟ๐๐จ๐ฉ๐๐ฃ๐๐: Kilomita Moja Kutoka Main Road Riverside, Unaweza Kutembea au Boda 1000
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba KIMOJA cha Kulala Master Bedroom
โข Jiko Kubwa la Nje
โข Public Toilet ya Wageni
Kodi yake kwa Mwezi ni Tsh. 250,000/= Malipo Miezi Sita
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp