1 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







🌟 CHUMBA, SEBULE & JIKO — NDANI YA FENSI! 🌟
📍 Mahali: Bunju - Karibu na Main Road
⸻
🔹 Muundo wa Nyumba:
• 🛏️ Chumba kimoja cha kulala
• 🛋️ Sebule yenye nafasi
• 🍽️ Jiko la ndani
• ⚡ Umeme: Unajitegemea
• 🚿 Maji: Mnashare wawili
⸻
💰 Kodi: TSh 170,000/= kwa mwezi
🔒 Malipo ya kuanzia: Miezi 6
⸻
📞 Wasiliana Nami Leo:
Simu au WhatsApp:
• 📲 0687 800 788
• 📲 0713 958 395