1 Bedrooms House for Rent at Kilimanjaro


PLOT YENYE NYUMBA YA ZAMANI PAZURI KWA AJILI YA BIASHARA AU MAKAZI INAUZWA UBUNGO RIVER SIDE
(UBUNGO KIBANGU) IPO KARIBU NA LAMI π
BEI MILLION 59π MAONGEZI YAPO KIDOGO
UKUBWA WA ENEO SQMT 250 INAWEZA KUZIDI KIDOGO NA SQMT 250 KWA UWEKEZAJI WA DAR NI ENEO KUBWA SANA NYUMBA NYINGI ZIMEJENGWA KWENYE MAENEO YENYE UKUBWA HUO NA ZINALETA FAIDA KUBWA
KWA SASA NYUMBA INA WAPANGAJI
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA SITA NA NJE KUNA CHUMBA KIMOJA
MAKUSANYO YA KODI KWA MWEZI MMOJA NI LAKI 4 (400,000/)
KWA MIEZI SITA NI MILLION 2.4
(2,400,000/=)
KWA MWAKA MZIMA NI MILLION 4.8
(4,800,000/=)
KUMBUKA HIYO BEI UNAPOKEA IKIWA NI NYUMBA YA ZAMANI INAHITAJI MAREKEBISHO IENDANE NA HALI YA KISASA AU UBOMOE UWEKE APARTMENT HATA YA GOROFA UBUNGO WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MLIMANI NI WENGI NA NI MJI WA BIASHARA UHITAJI WA NYUMBA ZA KUPANGA UPO JUU SANA MANA MASTER MPYA UBUNGO NI LAKI MBILI HADI MBILI NA NUSU
DOCUMENTS LESENI YA MAKAZI
SERVICE CHARGE 50K
TUWASILIANE WHATSAPP/CALL 0784 919 453,, CALL 0658 582 977
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP BONYEZA HAPA π https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale