1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







*SOMA KWA MAKINI NDUGU MTEJA *
*#APARTMENT INA PANGISHWA KIMARA MWISHO UMBALI WA DAKIKA 10-15 KWA KUTEMBEA KWA MGUU ....*
------
#Chumba Kimoja
#kikubwa Master
#Sebule kubwa sana
#Na kibalaza chako
#Slide windows
#Maji yana flow chooni
#Umeme Luku Wawili
#Maji dawasa miters yako
#security 24HRS kilakona
#Fensi ipo/Parking Akuna
#Mazingila mazuri sana mno
--------
Service charge ni
shilingi 15,000/=
Kodi ni Tsz 150,000/=X "5"
(akuna punguzo la miezi)
----------
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347