1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina vyumba vya kulala 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_________________
Kodi kwa mwezi ni laki nne 4 kwa mwezi maripo ya miezi sita tuu/=
(400,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
CALL 0679 956 863
0759151524
CALL 0781 418 437
nyumba hii itakuwa wazi kuanzia (20/7/2025
kuona nakuripiya ruksa