1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X5
LOCATION KIMARA SUKA DAKIKA 6-7 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KUTOSHA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO 🚫
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
NB: NYUMBA INAFAULISHWA UKILIPIA TU V2 VINATOKA UNAHAMIA NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















