1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA INAPANGISWA KODI 300,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI UKISHUKA TU UPO NYUMBANI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PAKING SPACE IPO
NB: NYUMBA ITAKUWA TAYARI KUAMIA KUANZIA TAREHE 20/11/2025KUONA MALIPO RUKSA



















