1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 4 NDANI YA FENSI MOJA NDIO IPO WAZI KODI 300,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPEN KITCHEN CABINET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU
#NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
NB: UKILIPIA NYUMBA UMELIPIA PAMOJA NA MAJI UDAIWI IMEJUMLISHWA KWENYE KODI
Simu
0679997610