1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara korongwe msikiti wa udongo km2 usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 500000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Kitchen with cabinet
Umeme luku yake
Full A/C ndani
CCTV Camera
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Garden nzuri sana
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















