1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X6 
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PABLICK TOILET YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU 
#MAZINGIRA MAZURI TULIVU USALAMA IKULU
MAWASILIANO 0656623510 
WSP 0752436347




















