1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT NI KALI SANA YAANI NI KALI WAHI MAPEMA KAMA HUNA HARAKA INAKUWA WAZI 30/04/2025 NJOO ZUWIYA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
# PAVING BLOCKS
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE
#PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 5 TU KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI PAMOJA NA ELA YA MWEZI MMOJA WA DALALI
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp