1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
APARTMENT NZURI MPYA KABISA INAPANGISWA KODI 150K
#LOCATION: KIMARA KOROGWE
MWENDOKASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI NA DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE
0716 776247
0754 221168