1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1,5 KUTOKA STEND USAFIRI UPO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na pabrck ya ndani ipo na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_________________
Kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X6
Jamani hachukuwi chni ya miezi sita unapo anza baadayahapo anaweza kuchukuwa hata chaini ya miezi sita
#0785889413🔥🔥



















