1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MTEJA KALI SANAAAA #BEI 250K
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI 
#BEI NI 250,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.




















