1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 120,000 x 4 ) KIMARA MWISHO MASTER BEDROOM & JIKO MPYAAA ZINAPANGISHWA ZIPO ( 8 ) KWENYE COMPAUND MOJA
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA JIKO LA KISASA NA CHOO CHA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOxA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258