1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom
Sebule kubwa sana na
Dinning room kubwa
Jiko zuri ndani
Inajitegemea umeme NA maji nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana kwa watoto
๐ฐKODI YA PANGO
________________
Kodi ni laki tatu tuu( 3)Kwa mwezi
(300,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
SERVICES CHARGE ELFU 15,000
CALL #0625606710_