1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam





Chumba kimoja single Kinapangishwa Kodi tsh 50,000x6
Mahali kimara mwisho umbali km 1.7 usafiri bajaji au boda boda au dala dala
Chumba ni cha ndani kordo kati kati
Kina tairz jipsum dirisha wavu sifa lina hewa safi
Service Change tsh 15k
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number 0689-547258