1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 3 NDANI YA FENCE MOJA MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA SIKA KM1 KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA KUINGIA TAR 20.8.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
--------
Vyimba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku
Paving block zina wekwa
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
-----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐พ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐