1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






Chumba kimoja masta na jiko zuri open kitchen kikubwa 
Maji yapo Dawasa yanatoka chooni na jikoni
 Kinapangishwa Kodi tsh 100,000x6
Mahali kimara suka umbali dk 20 kwa mguu kutoka stendi 
au boda boda au bajaji zipo ukishuka dk 2 umefika kwenye nyumba 
Umeme shea wapangaji 4 
Kuonyeshwa nyumba 15k 
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number 0689-547258



















