1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿House For Rent #Stand Alone
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
KODI 300,000 × 6
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Usafiri ni BAJAJI Tsh. 500 ukishuka unatembea kwa Mguu Dakika 5 - 7 Kutoka Kituo Cha Bajaji
Unaweza Ukapitia Kimara Korogwe Mwendokasi Pia Unaweza Kupitia UBUNGO RIVERSIDE Kote Bajaji Zinafika
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Dinning Room
✍️Vyumba V3 Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa la Kisasa
✍️Public Toilet Nzuri 🚻
✍️Reserve Tank (Dawasa)
✍️Inajitegemea Umeme Na Maji
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️No Parking 🚘
✍️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp