1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali mpya mpya kabisa
Location kimara suka km2 usafiri bajaji ni 1000 mpaka home
Kodi 200000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space fency
Angalizo nyumba itakuwa tayari kuingia 1/11/2025 kuona nyumba na kufanya malipo yanapokelewa
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128