1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara stop over km1 usafiri upo boda ni buku mpaka home
Kodi 120000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Umeme luku yake
Sehemu ya jiko
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128