1 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


📌Nyumba ya kujitegemea inapangishwa
📌Ipo madale kwa Kawawa
📌Umbali kutembea dk12
📌Sifa ni
📌Chumba kimoja ambacho ni self
📌Sebule kubwa kabisa & choo cha wageni
📌Jiko zuri na kubwa kabisa
📌Bei yake 250K malipo ni miezi 6
📌Gharama ya Kuona nyumba zetu ni Tsh 20,000/=
📌NB Zingatia pesa ya Dalali inalipwa na mpangaji ambayo ni mwenyezi 1
📲0782 724 115 🍎