1 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa  vyumba viwil vyakulala viwili kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa Sana 
Huduma maji dawasco na umeme unajitengemea 
Full AC tv camera 📸 
Bei laki 9 na nusu kwa mwez kod miez 6 tu
Nyumba IPO makongo mtipeaa 
Nipigie simu 0780600341



















