1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent kali nzuri sana
Location mbezi mwisho km2 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 150000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128