1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location mbezi kwa msuguli km2
Kodi 130000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Jiko
Maji dawasa ndani yanafloo
Umeme luku
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















