1 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
Hii ni Kwa Wale Wanaopenda Kukaa Karibu na Lami
Ni chumba kimoja cha kulala
Ina sebuleee
Ina jiko lenye makabati
Ina choo ndani
Ina parking
Umeme unajitegemeaa
Bei 230,000/=kwa mwezi
.
Contacts - 0683545452