1 Bedrooms House for Rent at Segerea, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA
CHUMBA KIMOJA CHENYE CHOO CHAKE NDANI
(SINGLE SELF)
MAJI YANAFLOO CHOONI
NYUMBA IPO KWENYE FENCE
USALAMA WA UHAKIKA
LOCATION NJIAPANDA YA SEGEREA (POND)
BEI 120,000 X3
KWENDA AIRPORT BODA 1500, DALADALA 500
SERVICE CHARGE 20,000
0784088191
0715800811