1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 8-10 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME SHARE
#FULL/ACC NA VITANDA VIPO UKIHITAJI USIPO HITAJI VINATOLEWA
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347