1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Master bedroom na Jiko 200k🏠
Specifications:
• Nyumba ipo Maeneo na UDSM Near Ubungo msewe
• Chumba kimoja cha Master bedroom
• Jiko zuri kabisa
• No Fence No Parking
• Umeme na Maji Sharing
• Umbali wa dakika 10 kwa mguu au boda boda kutoka barabarani
Masharti ya Malipo:
• Kodi ya nyumba ni 200k kwa mwezi
• Malipo ya kodi ya miezi mitatu (6)
Gharama za Huduma:
• Gharama ya kuona nyumba ni 20k (inalipwa mara moja hadi utakapopata nyumba)
• Gharama ya dalali ni mwezi mmoja wa kodi ya nyumba, ambayo hulipwa na mpangaji tofauti na kodi
Mawasiliano:
• Simu/WhatsApp: 0744701813