1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA JIKO (100k)
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO EXTERNAL
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 4 Kutoka Kituoni
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER BEDROOM
โข SEHEMU YA JIKO
Apartment zipo 4 Kwenye Fensi Parking ipo na kila Chumba Kinajitegemea Umeme Sub Meter na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 100,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp