1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


0679 997610 
APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 250,000X3
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO NZR LA KISASA 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO




















