1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA INAPANGISWA KODI 150,000X6
MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI UMEME LUKU AINA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500 BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















