1 Bedrooms House for Rent at Ukonga, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA
CHUMBA KIMOJA CHENYE CHOO CHAKE NDANI
(SINGLE SELF)
CHUMBA NI KIKUBWA SANA
UMEME MNASHEA WAWILI
MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA NI 15,000 KWA MWEZI
NYUMBA IPO KWENYE FENCE PARKING SPACE KUBWA
LOCATION UKONGA MOMBASA
BEI 100,000 X6
SERVICE CHARGE 20,000
0785088191
0715800811