1 Bedrooms House for sale at Heka, Singida


SHAMBA LENYE UKUBWA WA HEKA SABA(7)LINAUZWA
#MAHALI_KIBAHA_BOKO_TIMIZA
#SHAMBA_LINAUKUBWA_WA_HEKA 7
ENEO LOTE LIMEPIMWA NA LINA HAT YA WIZARA YA ARDH
👉#SIFA_ZA_ENEO
👉KWENYE SHAMBA TAYAR KUNA NYUMBA YA MAKAZI YENYE V3 VYA KULALA,CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM,SEBULE YENYE DINNING ROOM,JIKO NA PUBLIC TOILET, PIA KUNA UMEME WA TANESCO NA MAJI YA DAWASCO, KUNA MATANK MAKUBWA YA MAJI
SHAMBA LIMEPANDWA MAZAO MBALIMBALI KAMA VILE (MIEMBE,MICHUNGWA,MINANASI,MIGOMBA,MIKOROSHO,
MIHOGO)
SHAMBA LINA MABANDA MAWILI YA KISASA YA KUFUGIA NG'OMBE NA PIA KUNA MABWAWA MAKUBWA MAWILI YA KUFUGIA SAMAKI LIMEJENGWA TAYARI NA LINA SAMAKI
MAJI YA DAWASCO YAPO PAMOJA NA UMEME PIA KUNA TANKI KUBWA LA KUHIFADHIA MAJI LIPO SITE
BARABARA NI RAFIKI NA INAFIKA MPKA SITE
SALES AGREEMENT MWANASHERIA
👉#BEI: 160 MILLION
👉 SERVICE CHARGE YA KUPELEKWA SITE 30000/=
👉KWA MAWASILIANO ZAIDI
☎️ #0757208653