1 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000,000
Project
Yes

📍BEACH PLOT FOR SALE KIGAMBONI KIMBIJI.

Eneo: Yaleyale – Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam
📏 Takribani km 40 kutoka Ferry ya Posta

🏡 MAELEZO YA MALI
Tunauza kiwanja kikubwa chenye nyumba kilichopo katika mazingira tulivu na yaliyohifadhiwa vizuri.

📐 Ukubwa wa Viwanja:

Plot No. 116 – SQM 10,722
Plot No. 111 – SQM 9,456
Plot No. 112 – SQM 2,952
Plot No. 113 – SQM 2,482
Plot No. 114 – SQM 2,901

🔢 Jumla ya Ukubwa: SQM 28,513

🏠 Muundo wa Nyumba:
Chumba 1 cha kulala
Jikoni
Sebule
Eneo la kula
Stoo (storage)

🚗 Huduma & Mazingira:
Eneo kubwa la wazi kwa ajili ya maegesho
Maji yapo

Umeme wa TANESCO upo eneo husika (bado haujaunganishwa ndani ya nyumba)
Mazingira safi, tulivu na yanayotunzwa vizuri

📄 Umiliki Halali:
Hati miliki (Title Deeds) za viwanja vyote zipo
Vyeti vya Umiliki (Certificates of Occupancy) vinapatikana

🧱 Hali ya Nyumba:
Nyumba imekamilika kwa sehemu
Vifaa vya ujenzi vilivyobaki vipo kwenye stoo

💰 Bei: Bilioni 2 (maongezi yapo kidogo)

🛠️ Service charge: Tsh 50,000 tu mpaka upate unachopenda

---

📞 Wasiliana nasi:
WhatsApp / Piga Simu ☎️ +255 782 146 531
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#WasafiMedia #FridayTurnUp #AfricaIsWatching #WasafiDigital #CloudsDigitalUpdates XXLVibe XXLCloudsFM ZigoKamaLote DStvPoaZigoKamaLote MillardAyoUPDATES UNAAMBIWA MillardAyoMagazeti MwananchiUpdates NguvuMoja timuyawananchi daimambelenyumamwiko AzamSports1HD sammisagotv

dalali_kigamboni_sheby
dalali_kigamboni_sheby
dalali_kigamboni_sheby

Similar items by location

1 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,000,000,000

📍BEACH PLOT FOR SALE KIGAMBONI KIMBIJI.Eneo: Yaleyale – Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam📏 Takr...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location mikwambe ya msingi <> Ukubwa wa eneo SQM 1980◾️Price: Milioni ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 125,000,000

#HOUSE FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada mwera <> Ukubwa wa eneo SQM 450✅HATI YA WIZALA<> price...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko nzuri...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

HAPPY NEW WEEK🙏🙏🙏🙏MILIKI ARDHI LEO NA KAMPUNI PENDWA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAEND...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada (CHEKECHEA)<> ukubwa wa eneo SQM 800◾️price: Milioni 45...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 150,000,000

VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI bei milioni 150 Kwa kiwanja VIWANJA vipo kibada vina ukubwa wa sqm 3500Kw...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000,000

VIWANJA 3 VINAUZWA KIGAMBONI bei milioni 450 Kwa vyote0767672719📱0713672719VIwanja vipo kibada bloc...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 170,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafi...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 170,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafi...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada <> Ukubwa wa eneo SQM 1000✅HATI YA WIZALA<> price: Mili...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 780,000,000

#HOUSE FOR #SALE KIGAMBONI<> location kibugumo (kidete beach)<> Ukubwa wa eneo SQM 1500✅HATI YA WIZA...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

HAPPY NEW MONTH🙏🙏MILIKI ARDHI LEO NA KAMPUNI PENDWA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAENDELE...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 8,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location mwembe mdogo (jirani na magorofa ya Dege)<> ukubwa kuanzia SQM...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 777,778

OFA OFA OFA 🔥🔥🔥🔥SASA KIGAMBONI CHEKA MALIPO YA AWAMU UNALIPA MPAKA MIEZI 18 TU.MALIPO YA CASH SQ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __MITA 💯 KUTOKA LAMI KLM 8 KUTOKA FERRY __KIWANJA KINA FENCE PA...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

NYUMB MPYA INAUZWA IPO KIGAMBONI GEZA ULOLE DAR ES SALAAMBEI MILIONI 250,000,000/= MILIONI 075912884...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA KIGAMBONI SHANGWE DAR ES SALAAMBEI MILIONI 180,000,000/= MILIONI 0759128747 0624...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 185,000,000

🏠 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI GEZA ULOLE 🌴Fursa ya kipekee kwa wanaotafuta uwekezaji wenye tija! 💰...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Mji Mwema 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa...