1 Bedrooms House for sale at Msongola, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA MSONGOLA WILAYA TEMEKE
UKUBWA:
Nyumba ni ya vyumba v3 sitiing room na kitchen chumba kimoja wapo ni master bedroom
Eneo sqm 280
Bei mil 35 karibuni
Nyumba ipo karibu na stendi
(Ukiwa barabarani nyumba unaiona)
Hati mauziano selikali ya mtaa
Eneo la kupark magari yako
Umeme/maji vipo
Nyumba ni mpya muhusika anauzia shida
Ukifika hapa huwezi kuiacha
Karibu sana mteja
Umbali dakika 2 kutoka kwenye barabara
Mawasiliano.
0657 777 771 whatsapp/calls
0747 257 771 normal calls only
Kasinge
DALALI TANZANIA