1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Goba kwa awazi dakika 3 lami
Bei: 300,000 Kwa Mwezi miezi 4
Malipo: Miezi 6
☑️Chumba Kimoja Master
☑️Sebule Kubwa
☑️Jiko Kubwa La Kisasa
☑️Fensi
☑️Parking
☑️Tiles, Gypsum
☑️Sliding Windows
☑️Luku Inajitegemea
☑️Full Paving Blocks
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalaligodwin
Whatsapp: 0788633081
Call: 0657214754