1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NYUMBA LAMI
💧Bei :: 250,000Tsh Malipo Miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Jiko zuri kubwa (Linafungwa Kabati)
📍Fence
📍Luku na Maji yako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782 724 115
Call /Whatsapp