1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA KABISA INAPANGISHWA
Location: KIMARA MWISHO
KM 1.5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO (DSM) 🇹🇿
📌USAFIRI UPO MWINGI WA BAJAJI TSH 700/=
NOHA TSH 700/= BODA BODA ELFU 1000/=
⚡SEBULE KUBWA SANA
⚡CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
⚡JIKO KUBWA LA KISASA
⚡MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
⚡️RESERVE TANK
⚡UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
⚡NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
⚡PARKING SPACE IPO KUBWA 🚗
⚡️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 200,000 × 4/5/6
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp