1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE – KARIBU NA BARABARA KUU
📍 Kimara Korogwe
🕓 Umbali wa dakika 3 tu kutoka stand ya mwendo kasi ya Kimara Korogwe, karibu sana na barabara kuu.
#SIFA ZA NYUMBA
🔸 Chumba kimoja (Master)
🔸 Sebule
🔸 Jiko
🔸 Umeme & Maji (Inajitegemea)
🔸 Fensi & Parking kubwa
👉 Nyumba ipo wazi. Mpangaji wa awali ameondoka bila kurejesha funguo; hivyo mteja anaruhusiwa kuja kuona mazingira na kufanya malipo. Funguo zitapatikana jioni.
Gharama
🔹 Kodi Tsh 300,000/= × 6 (Miezi Sita)
🔹 Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
🔹 Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
#0740747383
📞 & Whatsapp
us🙏
Karibu Sana Mteja😁



















